Mnadhiri Latest Products

mashati mazuri sana kwa kushona na kwa kudarizi

Mnadhiri mobile shop inakuletea mashati mazuri sana kwa kushona na kwa kudarizi. kwa matumizi YA send-off partyz,kwa matumizi YA sare,kwa matumizi YA zawadi na hata kwa matumizi YA mtu binafsi nitaweza kukuletea mpk ulipo kwa bei nzuri sana.
Its cheaper but with a vry high quality.
Na bila kusahau kua mnadhiri shop inaendelea kukuletea bidhaa zote za kiume kwa styl tofauti tofauti km vile SUTI, KADETI, OFFICIAL+ CASUAL JEANS, RABAZ NA VIATU VYA AINA NYINGI ZAIDI, TSHRTS, MAKO..






suti kwa styl tofauti tofauti

utaweza kujipatia bidhaa nzuri sana za suti kwa styl tofauti tofauti na kwa beI nzuri zenye discount YA hadi 10% off kutoka kwa MNADHIRI MOBILE SHOP.
Kwa kuwasilina kwa nambari YA 0753067553.
Usisahau kua tunakufikia mteja mpk pale ulipo huku wewe ukiendelea na shughuli zako nyingine!!. Yaani duka ndio linakufata mpk pale ulipo.
Na kwa makoti YA kodrai. na velvets pia utajipatia...
Unaweza kuchagua kutoka kwenye samples hapo chini au ukanitumiasample kwa watsup kupitia hiyo namba hapo juu au ukanielekeza na mie nkafuata maelekezo yako.Na km una order yako special,pia utaweza niambia ili nikupatie na km utataka suti nyingi kwa wakati mmoja pia itawezekana tena kwa bei nzuri zaidi.
Na hata kwa mkopo, inawezekana.
kuna aina nyingi za suti,koti za kodrai na rangi tofauti tofauti sana.
Karibuni sana.








+